Unaweza Kufanya Mambo Makubwa Lyrics

Lyrics & meaning

UNAWEZA

Magreth James

ReleasedApril 23, 2021 GenreGospel

About this song

Unaweza Kufanya Mambo Makubwa Lyrics

UNAWEZA is a captivating Swahili Gospel masterpiece, brought to life by the artistic prowess of Magreth James. The song’s lyrics and music are the handiwork of Magreth James, demonstrating expertise in both composition and production, capturing the essence of this creation through versatile talent. UNAWEZA was released on April 23, 2021. “Unaweza Kufanya Mambo Makubwa Lyrics” has stayed with many, making it a song people naturally come back to again and again. Below, you’ll find the lyrics for Magreth James’s “UNAWEZA”, offering a glimpse into the profound artistry behind the song.

Listen to the complete track on Amazon Music

Choose your script

Read the Song Lyrics

Lyrics text size: 100%

Kuabudiwa ni wewe, hallelujah!
Unaweza, siwakua, aah-aah…

Unaweza kufanya, unaweza kutenda
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Unaweza kufanya, unaweza kutenda
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Unaweza…

Unaweza kufanya, unaweza kutenda
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Unaweza kufanya, unaweza kutenda
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo

Zaidi ya niombavyo, zaidi ya nitakavyo
Unaweza kufanya, unaweza Yesu
Zaidi ya tarajio, zaidi ya niombavyo
Unaweza kufanya, unaweza Yesu

Unaweza kufanya, unaweza kutenda
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Unaweza kufanya, unaweza kutenda
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo

Unaweza, unaweza, yeah, zaidi
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo

Yale mambo makubwa zaidi ya tarajio
Yale mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo

Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo
Mambo makubwa zaidi ya niombavyo