
About this song
Yebo Nitawale Lyrics
Yebo (Nitawale) is a captivating Swahili Christian masterpiece, brought to life by the artistic prowess of Vestine and Dorcas. The lyrics of the song are penned by Niyo Bosco, Martin Mugisha & M. Irene, while the production credits go to Popieeh. Yebo (Nitawale) was released on March 2, 2025. “Yebo Nitawale Lyrics” has stayed with many, making it a song people naturally come back to again and again. Below, you’ll find the lyrics for Vestine and Dorcas’s “Yebo (Nitawale)”, offering a glimpse into the profound artistry behind the song.
Listen to the complete track on Amazon Music
Choose your script
Read the Song Lyrics
Mwokozi wangu, nakuitaji zaidi
Na moyo wangu, unalia uwepo wako
Nimejaribu on my own, lakini siwezi
Nakutegemea, usiniache kamwe
Nikiwa bado napumua,
Jina lako ndilo nitajivunia
Tena sitaki kitu cha kunikataza
Kuwa chombo chako
Najua kwamba mimi ni wako
Unanipenda tena sana
Nuru yako imenitoa gizani
Sitaogopa kamwe
Nitawale sasa na hata milele Bwana
Overpower all of me, the way you truly desire
Nitamani kuongozwa na mkono wako wenye nguvu
The fresh air into my heart
Amen – Amen – Amen
Yebo – Yebo Jesu, Yebo – Yebo Jesu
Yebo – Yebo, Ngidinga wena
Ee Mungu nitumikishe,
Katika faida za mbingu
Nisimamie vizuri,
Ufalme wako ndani ya ulimwengu
Najaze nguvu nipambane
Udhaifu wangu uondowe
Nidhalau mishale ya machungu
Adui anaonipiga
Hawa wanataja magari
Wengine wanataja mafarasi
Bali sisi tunalitaja
Hilo jina la Bwana (x3)
Nitawale sasa na hata milele Bwana
Overpower all of me, the way you truly desire
Nitamani kuongozwa na mkono wako wenye nguvu
The fresh air into my heart
Amen – Amen – Amen
Yebo – Yebo Jesu, Yebo – Yebo Jesu
Yebo – Yebo, Ngidinga wena
Najua kwamba mimi ni wako
Unanipenda tena sana
Nuru yako imenitoa gizani
Sitaogopa kamwe
Hayayaya…
Sitaogopa kamwe – Bonde la mauti
Sitaogopa kamwe – Sitaogopa, sitaogopa kamwe
Kwenye shimo la simba – Sitaogopa kamwe
Katika giza tupu – Sitaogopa kamwe
